Kids Sports Program Yaibua Vipaji
TALENTS DEVELOPMENT Mmoja wa Watoto waliopo katika Shule inayo saidia Watoto na Vijana kuzalisha, Kukuza na Kuendeleza vipaji, Fountain Gate Academy pichani akifundishwa namna ya kutangaza ili aweze kuwa mtangazaji…