Yanga Princess Wajaribu Tena Msimu Ujao
Hivyo ndivyo unavyoweza kuwaambia klabu ya Yanga Princess Mara baada ya kupoteza Mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa hapo jana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma dhidi ya Fountain Gate…
Hivyo ndivyo unavyoweza kuwaambia klabu ya Yanga Princess Mara baada ya kupoteza Mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa hapo jana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma dhidi ya Fountain Gate…
Fountain Gate Sports CEO Mr. Thabit Kandoro received a courtesy call from the new UDOM CRDB branch Manager Mrs. Mariaconsolata Pereka. They had a little chat about cooperation and partnership…
Afisa Mtendaji wa Fountain Gate Sports ndugu Thabithy Kandorro amekutana na mwakilishi wa La Liga kwa nchi za Tanzania, Burundi, Uganda na Rwanda ndugu Jorge Gazapo kwa mazungumzo yanayohusu maendeleo…
Jinsi MFANYABIASHARA Kama Wewe Unavyoweza Kunufaika Na Klabu Kubwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati “Fountain Gate Princess FC” …Kama wewe ni Mfanyabiashara au Mjasiriamali unayetamani Kunufaika na Klabu ya…
TALENTS DEVELOPMENT Mmoja wa Watoto waliopo katika Shule inayo saidia Watoto na Vijana kuzalisha, Kukuza na Kuendeleza vipaji, Fountain Gate Academy pichani akifundishwa namna ya kutangaza ili aweze kuwa mtangazaji…
Fountain Gate FC bagged their first win of the season’s second leg after beating Copco Veterans from Mwanza on the weekend. The slight one-nill win has enabled them to move…
Philomena Daniel Joins Fountain Gate Princess Tanzanian International Philomena Daniel has joined Fountain Gate Princess Football Club. The Football Maestro joins a troop of other international Players at Fountain Gate…
Fountain Gate Princess Player Ester Mabanza has secured a Division I of 16 points in the just released CSEE Results. Mabanza who has been studying at Fountain Gate Secondary School…
Ligi ya wanawake inarejea Jumatano hii ambapo Fountain Gate Princess watashuka dimbani kuchuana na wenzao Baobab Queens kutoka Dodoma. Mechi hii itaonyesha ubabe wa timu hizi mbili ambazo zinapigania ubingwa…
Programu ya Mafunzo ya Soka kwa Watoto rasmi yatafanyika kila siku ya Jumamosi na Jumapili. Siku ya Jumamosi programu hiyo itakua inaanza saa mbili asubuhi hadi saa nne ilhali siku…