TALENTS DEVELOPMENT

Mmoja wa Watoto waliopo katika Shule inayo saidia Watoto na Vijana kuzalisha, Kukuza na Kuendeleza vipaji, Fountain Gate Academy pichani akifundishwa namna ya kutangaza ili aweze kuwa mtangazaji mzuri wa baadae.

Huu ni muendelezo wa program maalumu ya kukuza vipaji inayoitwa “Kids Sports Program Development” inayopatikana katika shule za Fountain Gate Tanzania.

Katika taasisi yetu tunaamini kwamba kukuza vipaji ni njia moja wapo ya kuikuza uchumi wa Taifa na kuwaanda vijawana kuyakabili maishi ya miaka ijayo.

Tupigie sasa kwa Uhakika wa Maarifa,Hekima na Kipaji cha Mtoto wako +255 764 313 260

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *