Jinsi MFANYABIASHARA Kama Wewe Unavyoweza Kunufaika Na Klabu Kubwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati “Fountain Gate Princess FC” …

Kama wewe ni Mfanyabiashara au Mjasiriamali unayetamani Kunufaika na  Klabu ya Fountain Gate Princess … Basi Ujumbe huu ni kwa ajili yako !

… Klabu ya Fountain Gate Princess ina mashabiki wa moja kwa moja zaidi ya watu 50,000+, ipo ndani ya Taasisi za shule yaani Fountain Gate Schools (Morogoro, Dar es salaam & Dodoma) yenye wanafunzi zaidi ya 5500+, wafanyakazi 400+, wafutiliaji kwenye mitandao ya kijamii kwa ujumla wa kurasa zote za Fountain Gate Academy na wasio kwenye mitando pamoja na wageni wanaotembelea  kwa kila siku kwenye taasisi zote ni zaidi ya watu 1,000,000+…


Je Hii Ina FAIDA gani kwako Kama Mfanyabiashara au Mjasiriamali? …

Maana yake ni kwamba—“Biashara yako itaweza Kuonekana, Kukuua na Kunasa Wateja Wengi, Mbele ya macho ya watu zaidi ya 1,559,000 ndani ya muda mfupi Tu”

(Vipi Kama 1% Tu ya watu hao watakutafuta—Biashara yako itakuwa wapi Kimauzo?)

Kwahiyo Kama Ungependa Kuwa Miongoni mwa Wafanyabiashara & Wajasiriamali wachache watakaopata Nafasi Adimu ya Kutangaza na Kukuuza Biashara yao na Kunasa Wateja Wengi na Klabu Kubwa yenye Chapa Imara na Tija Nzuri Afrika…

Basi Fanya Kitu Hiki Kimoja Sasahivi…

“Piga Simu SASAHIVI kwenda 0689 558 904 ili Kupata Maelekezo Yote BURE ya Jinsi ya Kunufaika”

Nafasi ni 10 Tu …

Utapata nafasi ya Kutangaza Biashara yako na Kuongeza Mauzo yako zaidi ya X 100 ndani ya kipindi chote cha Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara mpaka mwezi mei, tarehe 30.05.2023 …

Na kwa sababu ni huu ni mwezi wa mapenzi na mahaba, kuna OFA hii kwa watu 10 Tu wa kwanza…

Watu 10 wa kwanza Kupiga Simu wapata OFA ya mpaka 75% ya Gharama ya Matangazo kwa kipindi chote cha Ligi na kuingia kwenye familia kubwa sana ya FOUNTAIN GATE ACADEMY…

OFA Hii itadumu ndani ya siku 20 Tu…
.
Piga Namba Hii Hapa chini Sasahivi…
.
0689-558-904

Tembelea tovuti : www.thefountaingatesportsacademy.com

Tuma barua pepe: info@thefountaingatesportsacademy.com

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *