Programu ya Mafunzo ya Soka kwa Watoto rasmi yatafanyika kila siku ya Jumamosi na Jumapili.

Siku ya Jumamosi programu hiyo itakua inaanza saa mbili asubuhi hadi saa nne ilhali siku ya Jumapili ni kuanzia saa Tisa alasiri.

Watoto wenye umri kuanzia miwili (2) mpaka kumi na mitano (15) watapata mafunzo sahihi ya Soka kutoka kwa Walimu waliobobea na yatafanyika katika vituo vifuatavyo.

Kwa Dar es Salaam ni katika Shule ya Fountain Gate Academy Tabata ilhali Dodoma ni katika uwanja wa Fountain Gate Arena.

LINK to the Photos https://photos.app.goo.gl/w4SPdt2TKJnQRFXw9

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *