Wanafunzi wawili kati ya watano wa Fountain Gate walioko masomoni nchini Marekani kupitia ufadhili wa VIPAJI na SHULE wametunukiwa vyeti vya uchezaji bora na kuwa wachezaji wa kwanza wa mwaka kutoka Shule ya Milwaukee Lutheran High School katika Jimbo la Wisconsin.

Wachezaji wa wachezaji hao ambao ni Akram na Jamal wako Marekani kwa ufadhili wa miaka minne kupitia Kitengo cha Fountain Gate International Relation.

Taasisi ya Founatin Gate inaendelea kukuza vipaji vya vijana pamoja na kuwahimiza kuyaendeleza masomo oyao kupitia programu ya VIPAJI na SHULE.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *