Afisa Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya Fountain Gate Sports Bw. Thabit Kandoro pamoja na Meneja wa Mashindano na Masoko Bw. Augustino Fulgence hivi leo waliweza kumtembelea Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma Mh. Rosemary Staki Senyamuli katika ofisi zake lengo na madhumuni ikiwa ni kuitambulisha rasmi Fountain Gate Sports Pamoja na kumjuza yanayo endelea katika Taasisi hiyo.

Mkuu wa Mkoa Mh. Senyamule ameridhishwa na juhudi za wana Fountain Gate haswa katika Michezo na ameahidi kutoa ushirikiano wa dhati kuhakikisha kua wanayatimiza malengo yao pamoja na kukuza utalii wa kimichezo katika Mkoa wa Dodoma.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *