π—”π—‘π—”π—œπ—§π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯π—₯𝗬 π—¨π—žπ—œπ— π—¨π—œπ—§π—” π—žπ—œπ—¨π—‘π—šπ—’ π—ͺ𝗔 π—§π—”π—œπ—™π—” π—œπ—§π—”π—™π—”π—”

Moja ya matunda katika kituo chetu cha Fountain Gate Sports Academy tunayo jivunia ni kuhakikisha tunacho kipeleka kwa jamii kinapokelewa na sio kupokelewa tuu bali kutumika katika kusaidia jamii kutimiza malengo yake.

Marry ni mfano mzuri zaidi kwani ni mchezaji Mchanga lakini ndiye mchezaji pekee anae sumbua ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara huku akicheza katika Timu ya Fountain Gate Princess.

Mpaka sasa hakuna kiungo kama yeye ambaye anaweza kumudu dimba na kusababisha magoli mengi zaidi ya kuipatia timu yake.

Kwa ushahidi unaweza pata taarifa kwa timu zote za Ligi kuu ya wanawake ukitaja jina moja unapata taarifa zote.

Msimu mpya wa mafunzo ya GETS na YETS unaanza mapema mwezi wa kumi kwanini usiwe wewe tupigie sasa kujisajili 0718033280.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *