Taasisi ya Fountain Gate Sports Academy imemteua K. Mziwanda kuwa msemaji wa Timu ya Fountain Gate FC na Timu ya wanadada ya Fountain Gate Princess yenyemakao yake Mjini Dodoma.

Kabla ya kujiunga na Fountain, Mziwanda amehudumu katika vituo mbali mbali na anatarajiwa kuongeza nguvu katika idara ya mawasiliano ya Fountai Gate Academy.

Kwengineko, bodi ya Timu ya Fountain Gate Princess imemteua aliyekua msemaji wa timu hiyo Bwana Timotheo Francis kuwa Meneja wa Timu.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *