Kituo chetu cha Fountain Gate Sports Academy Siku ya leo kimefanya usajili wa wachezaji tayari kwa majaribio yatakayo fanyika siku ya Jumatatu na Jumanne ya Tarehe sita na saba (6-7/6/2022).
Usajili huo ambao umetendeka mjini Gairo, Morogoro umehusisha timu mbili tofauti za Under 20 na under 23.