Kocha kutoka Taifa la EGYPT aongeza kandarasi ya Mwaka mmoja kuendelea kukinoa kikosi cha Fountain Gate FC Chenye Makaazi yake Wilayani Gairo Mkoa Wa Morogoro.

Miongoni mwa makubaliano ya Waajiri wake Fountain Gate Academy ni Pamoja na kuhakikisha Timu hiyo inapanda Daraja katika msimu wa 2022/2023 ili kucheza Ligi kuu ya Msimu wa 2022/2023.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *