Ahmed Yousef Soliman aongeza kandarasi ya mwaka mmoja.
Kocha kutoka Taifa la EGYPT aongeza kandarasi ya Mwaka mmoja kuendelea kukinoa kikosi cha Fountain Gate FC Chenye Makaazi yake Wilayani Gairo Mkoa Wa Morogoro. Miongoni mwa makubaliano ya Waajiri…